Genesis 21:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu alikuwa na umri wa miaka 100 wakati mwanawe Isaka alipozaliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu alikuwa na umri wa miaka mia moja Isaka mwanawe alipozaliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Ibrahimu alikuwa mtu wa miaka mia, alipozaliwa mwana wake Isaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu alikuwa na umri wa miaka 100 wakati mwanawe Isaka alipozaliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu alikuwa na miaka 100 wakati Isaka mwanawe alipozaliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Abrahamu alikuwa mtu wa miaka mia moja, alipozaliwa mwana wake Isaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu alikuwa na umri wa miaka 100 wakati mwanawe Isaka alipozaliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Aburahamu alikuwa mwenye miaka 100, mwanawe Isaka alipozaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Ibrahimu alikuwa mtu wa miaka mia, alipozaliwa mwana wake Isaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abrahamu alikuwa na umri wa miaka mia moja wakati mwana wake Isaka alipozaliwa.