Genesis 21:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isaka akaendelea kukua, na siku alipoachishwa kunyonya, Abrahamu akafanya sherehe kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtoto akakua na akaachishwa kunyonya. Siku ile Isaka aliyoachishwa kunyonya, Ibrahimu alifanya sherehe kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya; Ibrahimu akafanya karamu kuu siku ile Isaka alipoachishwa kunyonya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isaka akaendelea kukua, na siku alipoachishwa kunyonya, Abrahamu akafanya sherehe kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtoto akakua akaachishwa kunyonya na siku hiyo Abrahamu alifanya sherehe kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya. Siku hiyo Isaka alipoachishwa kunyonya, Ibrahimu alifanya sherehe kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya; Abrahamu akafanya karamu kuu siku ile Isaka alipoachishwa kunyonya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isaka akaendelea kukua, na siku alipoachishwa kunyonya, Abrahamu akafanya sherehe kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtoto alipokua akakomeshwa kunyonya; siku hiyo, Isaka alipoacha kunyonya, Aburahamu akafanya karamu kubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya; Ibrahimu akafanya karamu kuu siku ile Isaka alipoachishwa kunyonya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaka akaendelea kukomaa, na siku alipoachishwa kunyonya, Abrahamu akafanya karamu kubwa.