Genesis 21:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Sara aliona kuwa mwana ambaye Hajiri Mmisri alimzalia Ibrahimu alikuwa anadhihaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Sara aliona kuwa mwana ambaye Hagari, Mmisri, aliyemzalia Abrahamu alikuwa anadhihaki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Sara aliona kuwa mwana ambaye Hagari, Mmisri, aliyemzalia Ibrahimu alikuwa anadhihaki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Abrahamu, anafanya dhihaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sara alipomwona yule mwana wa Mmisri Hagari, aliyemzalia Aburahamu kuwa mfyozaji,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja Sara akamwona Isimaeli, mutoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari Mumisri, akicheza na Isaka mwana wake.