Genesis 22:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi malaika wa Mwenyezi Mungu akamwita Ibrahimu kutoka mbinguni mara ya pili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi malaika wa BWANA akamwita Abrahamu kutoka mbinguni mara ya pili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi malaika wa bwana akamwita Ibrahimu kutoka mbinguni mara ya pili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malaika wa BWANA akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malaika wa Bwana akamwita Aburahamu toka mbinguni mara ya pili,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malaika wa BWANA akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika wa Yawe akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni,