Genesis 22:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akamwambia, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeapa kwa nafsi yangu kwamba kwa kuwa umefanya hivi, wala hukuninyima mwanao wa pekee,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema Mwenyezi Mungu, kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema Bwana, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akamwambia, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeapa kwa nafsi yangu kwamba kwa kuwa umefanya hivi, wala hukuninyima mwanao wa pekee,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema BWANA, kwamba kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema bwana, kwamba kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema BWANA, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akamwambia, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeapa kwa nafsi yangu kwamba kwa kuwa umefanya hivi, wala hukuninyima mwanao wa pekee,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema: Ndivyo, asemavyo Bwana: Nimejiapia kwamba: Kwa kuwa umelifanya jambo hili, usininyime mwanao wa pekee,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema BWANA, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akamwambia: “Yawe anasema hivi: Nimeapa kwa nafsi yangu mwenyewe kwamba kwa sababu umefanya hivi, wala haukuninyima mwana wako wa pekee,