Genesis 22:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya matukio hayo Abrahamu alipata habari kwamba Milka pia amemzalia Nahori, nduguye, watoto wa kiume:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda, Ibrahimu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto; amemzalia ndugu yako Nahori wana:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baada ya mambo hayo, Ibrahimu akaambiwa ya kwamba, Tazama, Milka naye amemzalia Nahori ndugu yako wana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya matukio hayo Abrahamu alipata habari kwamba Milka pia amemzalia Nahori, nduguye, watoto wa kiume:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda, Abrahamu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda, Ibrahimu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa baada ya mambo hayo, Abrahamu akaambiwa ya kwamba, Tazama, Milka naye amemzalia Nahori ndugu yako wana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya matukio hayo Abrahamu alipata habari kwamba Milka pia amemzalia Nahori, nduguye, watoto wa kiume:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo hayo yalipomalizika, Aburahamu akapashwa habari kwamba: Tazama, naye Milka amemzalia ndugu yako Nahori wana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baada ya mambo hayo, Ibrahimu akaambiwa ya kwamba, Tazama, Milka naye amemzalia Nahori ndugu yako wana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya mambo hayo Abrahamu akapata habari kwamba Milka vilevile amemuzalia ndugu yake Nahori watoto wanaume: