Genesis 23:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sara aliishi miaka 127. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha yake Sara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sara aliishi miaka mia moja na ishirini na saba (127).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi umri wake Sara ulikuwa miaka mia na ishirini na saba ndio umri wake Sara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sara aliishi miaka 127. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha yake Sara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sara aliishi akawa na umri wa miaka mia na ishirini na saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sara aliishi akawa na umri wa miaka mia na ishirini na saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi umri wake Sara ulikuwa miaka mia moja na ishirini na saba, ndio umri wake Sara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sara aliishi miaka 127. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha yake Sara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zake Sara za kuwapo zilipopata miaka 127, hii miaka ya kuwapo kwake ilipotimia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi umri wake Sara ulikuwa miaka mia na ishirini na saba ndio umri wake Sara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sara aliishi miaka mia moja makumi mbili na saba. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha ya Sara.