Genesis 23:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Efroni mwenyewe alikuwa miongoni mwa Wahiti hao waliokuwa wamekutanika penye lango la mji. Basi, Efroni Mhiti, akamjibu Abrahamu, mbele ya Wahiti wote hapo langoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Efroni Mhiti alikuwa ameketi miongoni mwa watu wake; akamjibu Ibrahimu mbele ya Wahiti wote waliokuwa katika lango la mji:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Efroni alikuwa akiketi kati ya wazawa wa Hethi. Efroni Mhiti akamjibu Ibrahimu, na wazawa wa Hethi wanasikiliza, hata watu wote waingiao mlango wa mji wake, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Efroni mwenyewe alikuwa miongoni mwa Wahiti hao waliokuwa wamekutanika penye lango la mji. Basi, Efroni Mhiti, akamjibu Abrahamu, mbele ya Wahiti wote hapo langoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Efroni Mhiti alikuwa ameketi miongoni mwa watu wake, akamjibu Abrahamu mbele ya Wahiti wote waliokuwepo katika lango la mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Efroni Mhiti alikuwa ameketi miongoni mwa watu wake, akamjibu Ibrahimu mbele ya Wahiti wote waliokuwepo katika lango la mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Efroni alikuwa akiketi kati ya wazawa wa Hethi. Efroni Mhiti akamjibu Abrahamu, na wazawa wa Hethi wanasikiliza, hata watu wote waingiao mlango wa mji wake, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Efroni mwenyewe alikuwa miongoni mwa Wahiti hao waliokuwa wamekutanika penye lango la mji. Basi, Efroni Mhiti, akamjibu Abrahamu, mbele ya Wahiti wote hapo langoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Efuroni alikuwa amekaa papo hapo katikati ya wana wa Hiti; ndipo, huyu Mhiti Efuroni alipomjibu Aburahamu masikioni pao Wahiti wote waliokuja hapo langoni penye mji wake kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Efroni alikuwa akiketi kati ya wazawa wa Hethi. Efroni Mhiti akamjibu Ibrahimu, na wazawa wa Hethi wanasikiliza, hata watu wote waingiao mlango wa mji wake, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Efuroni mwenyewe alikuwa kati ya Wahiti hao waliokuwa wamekutanika kwenye mulango wa muji. Basi, Efuroni Muhiti, akamujibu Abrahamu mbele ya Wahiti wote pale kwenye mulango: