Genesis 23:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akamwambia Efroni, wananchi wote wakisikia, “Nakuomba, tafadhali unisikilize. Nitakulipa bei kamili ya shamba lako, na ninakuomba upokee malipo haya, ili nipate kumzika humo marehemu mke wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, “Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia Efroni, na watu wa nchi wanasikiliza, akisema, Tafadhali unisikilize; nitatoa kima cha shamba, nawe ukipokee kwangu, nami nitamzika humo maiti wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akamwambia Efroni, wananchi wote wakisikia, “Nakuomba, tafadhali unisikilize. Nitakulipa bei kamili ya shamba lako, na ninakuomba upokee malipo haya, ili nipate kumzika humo marehemu mke wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, “Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, “Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia Efroni, na watu wa nchi wanasikiliza, akisema, Tafadhali unisikilize; nitatoa kima cha shamba, nawe ukipokee kwangu, nami nitamzika humo maiti wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akamwambia Efroni, wananchi wote wakisikia, “Nakuomba, tafadhali unisikilize. Nitakulipa bei kamili ya shamba lako, na ninakuomba upokee malipo haya, ili nipate kumzika humo marehemu mke wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwambia Efuroni masikioni pa watu wa nchi hii kwamba: Ungenisikia tu! Chukua kwangu hizi fedha za kulinunua shamba hilo, nitakazokupa, nipate kumzika mfu wangu huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia Efroni, na watu wa nchi wanasikiliza, akisema, Tafadhali unisikilize; nitatoa kima cha shamba, nawe ukipokee kwangu, nami nitamzika humo maiti wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akamwambia Efuroni, wanainchi wote wakisikia: “Ninakuomba, tafazali unisikilize. Nitakulipa bei kamili ya shamba lako, na ninakuomba upokee malipo haya kusudi nipate kumuzika mule marehemu muke wangu.”