Genesis 23:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
shamba lenye thamani ya shekeli 400 tu za fedha ni nini kati yako na mimi? Mzike marehemu mke wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli mia nne za fedha, lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, n'nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
shamba lenye thamani ya shekeli 400 tu za fedha ni nini kati yako na mimi? Mzike marehemu mke wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha, lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha, lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, ni nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
shamba lenye thamani ya shekeli 400 tu za fedha ni nini kati yako na mimi? Mzike marehemu mke wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana wangu, nisikie tu! Shamba la fedha 400 ni kitu gani, tubishane mimi na wewe? Mzike tu mfu wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, n’nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Bwana, unisikilize. Shamba lenye bei ya vikoroti mia ine tu za feza ni nini kati yako na mimi? Umuzike marehemu muke wako.”