Genesis 23:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, shamba la Efroni lililoko huko Makpela, mashariki ya Mamre, pango na miti yote iliyokuwamo pamoja na eneo zima, likawa lake
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo shamba la Efroni huko Makpela karibu na Mamre, yaani shamba pamoja na pango lililokuwamo, nayo miti yote iliyokuwa ndani ya mipaka ya shamba hilo, vilikabidhiwa
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi shamba la Efroni lililokuwa katika Makpela kuelekea Mamre, shamba, na pango iliyokuwamo, na miti yote iliyokuwamo shambani, iliyokuwa katika mipaka yake pande zote, vyote viliyakinishwa
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, shamba la Efroni lililoko huko Makpela, mashariki ya Mamre, pango na miti yote iliyokuwamo pamoja na eneo zima, likawa lake
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo shamba la Efroni huko Makpela karibu na Mamre, yaani shamba pamoja na pango lililokuwamo, nayo miti yote iliyokuwemo ndani ya mipaka ya shamba hilo, vilikabidhiwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo shamba la Efroni huko Makpela karibu na Mamre, yaani shamba pamoja na pango lililokuwamo, nayo miti yote iliyokuwamo ndani ya mipaka ya shamba hilo, vilikabidhiwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi shamba la Efroni lililokuwa katika Makpela kuelekea Mamre, shamba, na pango lililokuwemo, na miti yote iliyokuwamo shambani, iliyokuwa katika mipaka yake pande zote, vyote viliyakinishwa
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, shamba la Efroni lililoko huko Makpela, mashariki ya Mamre, pango na miti yote iliyokuwamo pamoja na eneo zima, likawa lake
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, shamba la Efuroni lililokuwa huko Makipela mbele ya Mamure, hilo shamba lenyewe pamoja na lile pango lililokuwako, nayo miti yote ya hapo shambani iliyokuwako mipakani katika mipaka yake ya pande zote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi shamba la Efroni lililokuwa katika Makpela kuelekea Mamre, shamba, na pango iliyokuwamo, na miti yote iliyokuwamo shambani, iliyokuwa katika mipaka yake pande zote, vyote viliyakinishwa
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, shamba la Efuroni linalokuwa kule Makipela, upande wa mashariki ya Mamure, pango na miti yote iliyokuwa kule pamoja na eneo zima, likakuwa la