Genesis 23:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alifia huko Kiriath-arba, yaani Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abrahamu akaomboleza na kumfanyia matanga Sara mkewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sara akafa huko Kiriath-Arba (yaani Hebroni) katika nchi ya Kanaani, naye Ibrahimu akalia na kumwomboleza Sara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sara akafa katika Kiriath-arba, ndio Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Ibrahimu akaja kumlilia Sara na kumwombolezea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alifia huko Kiriath-arba, yaani Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abrahamu akaomboleza na kumfanyia matanga Sara mkewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sara akafa huko Kiriath-Arba (yaani Hebroni) katika nchi ya Kanaani, Abrahamu akamwombolezea na kumlilia Sara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sara akafa huko Kiriath-Arba (yaani Hebroni) katika nchi ya Kanaani, Ibrahimu akamwombolezea na kumlilia Sara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sara akafa katika Kiriath-arba, ndio Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abrahamu akamlilia na kumwombolezea Sara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alifia huko Kiriath-arba, yaani Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abrahamu akaomboleza na kumfanyia matanga Sara mkewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sara akafa huko Kiriati-Arba, ndio Heburoni, katika nchi ya Kanaani; ndipo, Aburahamu alipoingia nyumbani kumwombolezea na kumlilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sara akafa katika Kiriath-arba, ndio Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Ibrahimu akaja kumlilia Sara na kumwombolezea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikufia kule Kiriati-Arba, ni kusema Hebroni, katika inchi ya Kanana. Abrahamu akaomboleza na kumufanyia Sara muke wake kilio.