Genesis 23:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shamba na pango lililokuwamo humo lilithibitishwa na Wahiti liwe mali yake Abrahamu apate kuzika humo wafu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Wahiti wakamkabidhi Ibrahimu shamba pamoja na pango lililokuwa humo kuwa mahali pa kuzikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na lile shamba, na pango iliyomo, iliyakinishwa kuwa mali yake Ibrahimu na wazawa wa Hethi, kuwa mahali pa kuzikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shamba na pango lililokuwamo humo lilithibitishwa na Wahiti liwe mali yake Abrahamu apate kuzika humo wafu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Wahiti wakamkabidhi Abrahamu shamba pamoja na pango lililokuwa humo kuwa mahali pa kuzikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Wahiti wakamkabidhi Ibrahimu shamba pamoja na pango lililokuwa humo kuwa mahali pa kuzikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na lile shamba, na pango lililomo, iliyakinishwa kuwa mali yake Abrahamu na wazawa wa Hethi, kuwa mahali pa kuzikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shamba na pango lililokuwamo humo lilithibitishwa na Wahiti liwe mali yake Abrahamu apate kuzika humo wafu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, hilo shamba pamoja na hilo pango lililoko lilivyotolewa kuwa mali yake Aburahamu, liwe mahali pake yeye pa kuzikia, likikoma kuwa lao wana wa Hiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na lile shamba, na pango iliyomo, iliyakinishwa kuwa mali yake Ibrahimu na wazawa wa Hethi, kuwa mahali pa kuzikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shamba na pango lililokuwa mule lililohakikishwa na Wahiti likuwe mali ya Abrahamu apate kuzika wafu wake mule.