Genesis 23:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Abrahamu akasimama na kuinama kwa heshima mbele ya wananchi Wahiti,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu akainuka, akasujudu mbele ya Wahiti, wenyeji wa nchi hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu akaondoka, akainama mbele ya watu wa nchi, mbele ya hao wazawa wa Hethi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Abrahamu akasimama na kuinama kwa heshima mbele ya wananchi Wahiti,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abrahamu akainuka na akasujudu mbele ya wenyeji wa nchi, yaani Wahiti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu akainuka na akasujudu mbele ya wenyeji wa nchi, yaani Wahiti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu akaondoka, akainama mbele ya watu wa nchi, mbele ya hao wazawa wa Hethi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Abrahamu akasimama na kuinama kwa heshima mbele ya wananchi Wahiti,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Aburahamu alipoinuka, akawainamia watu wa nchi hii, wao wana wa Hiti,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu akaondoka, akainama mbele ya watu wa nchi, mbele ya hao wazawa wa Hethi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Abrahamu akasimama na kuinama kwa heshima mbele ya wanainchi Wahiti,