Genesis 24:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa Abrahamu alikuwa mzee wa miaka mingi, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa amembariki katika kila hali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huu Ibrahimu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, naye Mwenyezi Mungu alikuwa amembariki katika mambo yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Ibrahimu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, na Bwana alikuwa amembariki Ibrahimu katika vitu vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa Abrahamu alikuwa mzee wa miaka mingi, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa amembariki katika kila hali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huu Abrahamu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, naye BWANA alikuwa amembariki katika kila njia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huu Ibrahimu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, naye bwana alikuwa amembariki katika kila njia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abrahamu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, na BWANA alikuwa amembariki Abrahamu katika vitu vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa Abrahamu alikuwa mzee wa miaka mingi, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa amembariki katika kila hali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aburahamu alikuwa mkongwe mwenye siku nyingi, nyingi sana, naye Bwana alikuwa amembariki Aburahamu po pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Ibrahimu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, na BWANA alikuwa amembariki Ibrahimu katika vitu vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa Abrahamu alikuwa muzee wa miaka mingi, naye Yawe alikuwa amemubariki katika kila hali.