Genesis 24:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipowasili, aliwapigisha magoti ngamia wake kando ya kisima kilichokuwa nje ya mji. Ilikuwa jioni wakati ambapo wanawake huenda kisimani kuteka maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawapigisha ngamia magoti karibu na kisima cha maji nje ya mji; ilikuwa inaelekea jioni, wakati wanawake huteka maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawapigisha magoti ngamia nje ya mji karibu na kisima cha maji wakati wa jioni, wakati ambapo wanawake wanakwenda kuteka maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipowasili, aliwapigisha magoti ngamia wake kando ya kisima kilichokuwa nje ya mji. Ilikuwa jioni wakati ambapo wanawake huenda kisimani kuteka maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawapigisha ngamia magoti karibu na kisima cha maji nje ya mji, ilikuwa inaelekea jioni, wakati ambapo wanawake wanakuja kuteka maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawapigisha ngamia magoti karibu na kisima cha maji nje ya mji, ilikuwa inaelekea jioni, wakati ambapo wanawake wanakuja kuteka maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawapigisha magoti ngamia nje ya mji karibu na kisima cha maji wakati wa jioni, wakati ambapo wanawake wanakwenda kuteka maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipowasili, aliwapigisha magoti ngamia wake kando ya kisima kilichokuwa nje ya mji. Ilikuwa jioni wakati ambapo wanawake huenda kisimani kuteka maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko nje ya mji kwenye kisima cha maji akawapumzisha ngamia; ikawa jioni, wanawake watokapo kuchota maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawapigisha magoti ngamia nje ya mji karibu na kisima cha maji wakati wa jioni, wakati ambapo wanawake wanakwenda kuteka maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipofika, alipigisha ngamia wake magoti kando ya kisima kilichokuwa inje ya muji. Ilikuwa magaribi wakati ambapo wanawake wanakwenda kwenye kisima kuteka maji.