Genesis 24:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba unijalie nifaulu leo na umfadhili Abrahamu bwana wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akaomba, “Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, nipatie ushindi leo, uoneshe ukarimu kwa bwana wangu Ibrahimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akasema, Ee Bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, nakuomba mambo yangu uyajalie yawe heri leo, ukamfadhili bwana wangu Ibrahimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba unijalie nifaulu leo na umfadhili Abrahamu bwana wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akaomba, “Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nipatie ushindi leo, uonyeshe huruma kwa bwana wangu Abrahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akaomba, “Ee bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, nipatie ushindi leo, uonyeshe huruma kwa bwana wangu Ibrahimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba mambo yangu uyajalie yawe heri leo, ukamfadhili bwana wangu Abrahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba unijalie nifaulu leo na umfadhili Abrahamu bwana wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaomba kwamba: Bwana, Mungu wa bwana wangu Aburahamu, nipe kufanikiwa leo! Naye Bwana wangu Aburahamu mhurumie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, nakuomba mambo yangu uyajalie yawe heri leo, ukamfadhili bwana wangu Ibrahimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akaomba: “Ee Yawe, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ninakuomba unisaidie leo na umutendee mema bwana wangu Abrahamu.