Genesis 24:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niko hapa kando ya kisima ambapo binti za wenyeji wa mji huja kuteka maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, nimesimama karibu na kisima hiki cha maji, nao binti za watu wa mji huu wanakuja kuteka maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama! Nimesimama karibu na kisima cha maji, na binti za watu wa mjini wanatoka kuteka maji,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niko hapa kando ya kisima ambapo binti za wenyeji wa mji huja kuteka maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, nimesimama karibu na kisima hiki cha maji, nao binti za watu wa mji huu wanakuja kuteka maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, nimesimama karibu na kisima hiki cha maji, nao binti za watu wa mji huu wanakuja kuteka maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama! Nimesimama karibu na kisima cha maji, na binti za watu wa mjini wanatoka kuteka maji,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niko hapa kando ya kisima ambapo binti za wenyeji wa mji huja kuteka maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, ninasimama hapa penye kisima cha maji, nao vijana wa kike wa watu wa humu mjini wanatoka kuchota maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama! Nimesimama karibu na kisima cha maji, na binti za watu wa mjini wanatoka kuteka maji,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niko hapa kando ya kisima ambapo wabinti za wenyeji wa muji wanakuja kuteka maji.