Genesis 24:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msichana huyo alikuwa na sura ya kuvutia sana, na bikira ambaye hakuwa amelala na mwanamume yeyote. Basi, akateremka kisimani, akaujaza mtungi wake maji na kupanda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyu msichana alikuwa mzuri sana wa sura, bikira, ambaye hakuna mwanaume aliyekuwa amekutana naye kimwili. Aliteremka kisimani, akajaza mtungi wake, tena akapanda juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye yule msichana alikuwa mzuri sana uso wake, bikira, wala mwanamume hajamjua bado; akashuka kisimani, akajaza mtungi wake, akapanda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msichana huyo alikuwa na sura ya kuvutia sana, na bikira ambaye hakuwa amelala na mwanamume yeyote. Basi, akateremka kisimani, akaujaza mtungi wake maji na kupanda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyu msichana alikuwa mzuri sana wa sura, bikira, ambaye hakuna mtu aliyekuwa amekutana naye kimwili. Alitelemka kisimani, akajaza mtungi wake akapanda juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyu msichana alikuwa mzuri sana wa sura, bikira, ambaye hakuna mtu aliyekuwa amekutana naye kimwili. Aliteremka kisimani, akajaza mtungi wake akapanda juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye yule msichana alikuwa mzuri sana uso wake, bikira, wala mwanamume hajamjua bado; akashuka kisimani, akajaza mtungi wake, akapanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msichana huyo alikuwa na sura ya kuvutia sana, na bikira ambaye hakuwa amelala na mwanamume yeyote. Basi, akateremka kisimani, akaujaza mtungi wake maji na kupanda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu kijana wa kike alikuwa mzuri sana wa kumtazama, tena alikuwa angali mwanamwali asiyejua mtu mume bado. Huyu akaja kushuka kisimani, napo alipokwisha kuujaza mtungi wake akapanda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye yule msichana alikuwa mzuri sana uso wake, bikira, wala mwanamume hajamjua bado; akashuka kisimani, akajaza mtungi wake, akapanda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Binti yule alikuwa na sura ya kuvutia sana na alikuwa angali bikira. Basi, akateremuka kwenye kisima, akaujaza mutungi wake maji na kupanda.