Genesis 24:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akafanya haraka, akawamiminia ngamia maji ya mtungi wake katika hori, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na kuwanywesha ngamia wake wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya haraka kumimina maji kwenye birika ya kunyweshea wanyama, akakimbia kisimani kuteka maji mengine, na akateka ya kuwatosha ngamia wake wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia zake wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akafanya haraka, akawamiminia ngamia maji ya mtungi wake katika hori, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na kuwanywesha ngamia wake wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya haraka kumimina maji kwenye birika ya kunyweshea wanyama, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na akateka ya kuwatosha ngamia wake wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya haraka kumimina maji kwenye birika ya kunyweshea wanyama, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na akateka ya kuwatosha ngamia wake wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia wake wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akafanya haraka, akawamiminia ngamia maji ya mtungi wake katika hori, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na kuwanywesha ngamia wake wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwaga upesi maji ya mtungini ndani ya birika, akapiga mbio kwenda kisimani tena kuchota; ndivyo, alivyowachotea ngamia wake wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia zake wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akafanya haraka, akawamiminia ngamia maji ya mutungi wake katika birika, akakimbia kwenye kisima kuteka maji mengine na kuwakunywesha ngamia wake wote.