Genesis 24:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwuliza, “Niambie tafadhali: Wewe ni binti nani? Je, kuna nafasi ya kulala nyumbani kwenu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akamuuliza, “Wewe ni binti ya nani? Tafadhali niambie. Je, kuna nafasi katika nyumba ya baba yako tunapoweza kulala?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akasema, U binti wa nani wewe? Tafadhali uniambie. Je! Iko nafasi katika nyumba ya baba yako tupate mahali pa kukaa kwa muda?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwuliza, “Niambie tafadhali: wewe ni binti nani? Je, kuna nafasi ya kulala nyumbani kwenu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akamwuliza, “Wewe ni binti wa nani? Tafadhali uniambie, je, kuna nafasi katika nyumba ya baba yako tutakapoweza kulala?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akamuuliza, “Wewe ni binti wa nani? Tafadhali uniambie, je, kuna nafasi katika nyumba ya baba yako tutakapoweza kulala?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akasema, U binti wa nani wewe? Tafadhali uniambie. Je! Iko nafasi katika nyumba ya baba yako tupate mahali pa kukaa kwa muda?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwuliza, “Niambie tafadhali: Wewe ni binti nani? Je, kuna nafasi ya kulala nyumbani kwenu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwuliza: Wewe binti nani? Tena niambie, kama nyumbani mwa baba yako mna mahali pa kulala sisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akasema, U binti wa nani wewe? Tafadhali uniambie. Je! Iko nafasi katika nyumba ya baba yako tupate mahali pa kukaa kwa muda?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwuliza: “Uniambie tafazali, wewe ni binti ya nani? Kuna nafasi ya kulala katika nyumba ya baba yako?”