Genesis 24:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo yule mtu akainamisha kichwa chake, akamwabudu Mwenyezi-Mungu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mtumishi akasujudu na kumwabudu Mwenyezi Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mtu akainama akamsujudu Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo yule mtu akainamisha kichwa chake, akamwabudu Mwenyezi-Mungu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mtumishi akasujudu na kumwabudu BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mtumishi akasujudu na kumwabudu bwana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mtu akainama akamsujudu BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo yule mtu akainamisha kichwa chake, akamwabudu Mwenyezi-Mungu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yule mtu alipoinama na kumwangukia Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mtu akainama akamsujudu BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yule mutu akainamisha kichwa chake, akamwabudu Yawe