Genesis 24:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha yule msichana akakimbia kwenda kuwapa habari jamaa za mama yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule msichana akakimbia, akawaeleza watu wa nyumbani mwa mama yake kuhusu mambo haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yule msichana akapiga mbio, akawaambia watu wa nyumba ya mama yake mambo hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha yule msichana akakimbia kwenda kuwapa habari jamaa za mama yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule msichana akakimbia akawaeleza watu wa nyumbani mwa mama yake kuhusu mambo haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule msichana akakimbia akawaeleza watu wa nyumbani mwa mama yake kuhusu mambo haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi yule msichana akapiga mbio, akawaambia watu wa nyumba ya mama yake mambo hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha yule msichana akakimbia kwenda kuwapa habari jamaa za mama yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule kijana alikuwa amekimbilia nyumbani mwa mama yake kuyasimulia maneno hayo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yule msichana akapiga mbio, akawaambia watu wa nyumba ya mama yake mambo hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha yule binti akakimbia kwenda kuwapa wandugu za mama yake habari.