Genesis 24:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rebeka alikuwa na kaka yake aitwaye Labani. Labani akatoka mbio kukutana na yule mtu kisimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rebeka alikuwa na kaka aliyeitwa Labani; huyo akaharakisha kukutana na yule mtumishi kule kisimani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Rebeka alikuwa na kaka, jina lake Labani. Labani akatoka mbio kumwendea yule mtu kisimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rebeka alikuwa na kaka yake aitwaye Labani. Labani akatoka mbio kukutana na yule mtu kisimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rebeka alikuwa na kaka aliyeitwa Labani, huyo akaharakisha kukutana na yule mtumishi kule kisimani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rebeka alikuwa na kaka aliyeitwa Labani, huyo akaharakisha kukutana na yule mtumishi kule kisimani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Rebeka alikuwa na kaka, jina lake Labani. Labani akatoka mbio kumwendea yule mtu kisimani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rebeka alikuwa na kaka yake aitwaye Labani. Labani akatoka mbio kukutana na yule mtu kisimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye huyo Rebeka alikuwa na kaka yake, jina lake Labani; huyu Labani akamkimbilia yule mtu huko nje kwenye kisima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Rebeka alikuwa na kaka, jina lake Labani. Labani akatoka mbio kumwendea yule mtu kisimani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rebeka alikuwa na kaka yake anayeitwa Labani. Labani akatoka mbio kukutana na yule mutu kwenye kisima.