Genesis 24:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nami nitakuapisha kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbingu na dunia, kwamba hutamwoza mwanangu msichana yeyote miongoni mwa binti za Wakanaani ninaoishi nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninataka uape kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitakuapisha kwa Bwana, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nami nitakuapisha kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbingu na dunia, kwamba hutamwoza mwanangu msichana yeyote miongoni mwa binti za Wakanaani ninaoishi nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninataka uape kwa BWANA, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka katika binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninataka uape kwa bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nami nitakuapisha kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbingu na dunia, kwamba hutamwoza mwanangu msichana yeyote miongoni mwa binti za Wakanaani ninaoishi nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikuapishe kwake Bwana aliye Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi kwamba: Usimposee mwanangu mwanamke miongoni mwa wana wa kike wa Wakanaani, ambao ninakaa katikati yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nami nitakuapisha kwa jina la Yawe, Mungu wa mbingu na dunia, kwamba hautamwoea mwana wangu binti yeyote kati ya wabinti za Wakanana ninaoishi nao.