Genesis 24:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labani akamwambia, “Karibu kwetu wewe uliyebarikiwa na Mwenyezi-Mungu. Mbona unasimama nje? Mimi mwenyewe nimekwisha tayarisha nyumba na mahali kwa ajili ya hawa ngamia wako!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia, “Karibu nyumbani wewe uliyebarikiwa na Mwenyezi Mungu. Kwa nini unasimama huko nje? Mimi nimekuandalia nyumba na mahali kwa ajili ya ngamia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Karibu, wewe uliyebarikiwa na Bwana, mbona unasimama nje? Kwa maana nimeiweka nyumba tayari, na nafasi kwa ngamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labani akamwambia, “Karibu kwetu wewe uliyebarikiwa na Mwenyezi-Mungu. Mbona unasimama nje? Mimi mwenyewe nimekwisha tayarisha nyumba na mahali kwa ajili ya hawa ngamia wako!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia, “Karibu nyumbani wewe uliyebarikiwa na BWANA, kwa nini unasimama huko nje? Mimi nimekuandalia nyumba na mahali kwa ajili ya ngamia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia, “Karibu nyumbani wewe uliyebarikiwa na bwana, kwa nini unasimama huko nje? Mimi nimekuandalia nyumba na mahali kwa ajili ya ngamia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Karibu, wewe uliyebarikiwa na BWANA, mbona unasimama nje? Kwa maana nimeiweka nyumba tayari, na nafasi kwa ngamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labani akamwambia, “Karibu kwetu wewe uliyebarikiwa na Mwenyezi-Mungu. Mbona unasimama nje? Mimi mwenyewe nimekwisha tayarisha nyumba na mahali kwa ajili ya hawa ngamia wako!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema: Karibu, uliyebarikiwa na Bwana! Kwa nini unasimama nje? Mimi nimekutengenezea nyumba, hata mahali pa ngamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Karibu, wewe uliyebarikiwa na BWANA, mbona unasimama nje? Kwa maana nimeiweka nyumba tayari, na nafasi kwa ngamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labani akamwambia: “Karibu kwetu wewe uliyebarikiwa na Yawe. Mbona unasimama inje? Mimi mwenyewe nimekwisha tayarisha nyumba na pahali kwa ajili ya hawa ngamia wako!”