Genesis 24:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamwandalia chakula, lakini yeye akasema, “Sitakula mpaka nimesema ninachotaka kusema.” Labani akamwambia, “Haya, tuambie.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo chakula kikaandaliwa kwa ajili yake, lakini akasema, “Sitakula hadi niwe nimewaambia yale niliyo nayo ya kusema.” Labani akasema, “Basi tuambie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaandaliwa chakula, lakini akasema, Sili mpaka niseme kwanza maneno yangu. Akamwambia, Haya, sema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamwandalia chakula, lakini yeye akasema, “Sitakula mpaka nimesema ninachotaka kusema.” Labani akamwambia, “Haya, tuambie.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo chakula kikaandaliwa kwa ajili yake, lakini akasema, “Sitakula mpaka niwe nimewaambia yale niliyo nayo ya kusema.” Labani akasema, “Basi tuambie.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo chakula kikaandaliwa kwa ajili yake, lakini akasema, “Sitakula mpaka niwe nimewaambia yale niliyo nayo ya kusema.” Labani akasema, “Basi tuambie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaandaliwa chakula, lakini akasema, Sili mpaka niseme kwanza maneno yangu. Akamwambia, Haya, sema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamwandalia chakula, lakini yeye akasema, “Sitakula mpaka nimesema ninachotaka kusema.” Labani akamwambia, “Haya, tuambie.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoandaliwa vyakula yule akasema: Sitakula, mpaka niyaseme maneno yangu. Akamwambia: Yaseme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaandaliwa chakula, lakini akasema, Sili mpaka niseme kwanza maneno yangu. Akamwambia, Haya, sema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakamutayarishia chakula, lakini yeye akasema: “Sitakula mpaka niseme ninachotaka kusema.” Labani akamwambia: “Basi, sema.”