Genesis 24:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana wangu aliniapisha mimi akisema, ‘Hutamwoza mwanangu msichana yeyote miongoni mwa binti za Wakanaani ambao ninaishi katika nchi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye bwana wangu ameniapisha na akasema, ‘Kamwe usimtwalie mwanangu mke katika binti za Wakanaani, ambao ninaishi katika nchi yao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha bwana wangu akaniapisha akisema, Usimtwalie mwanangu mke wa binti za Wakanaani, ambao nakaa katika nchi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana wangu aliniapisha mimi akisema, ‘Hutamwoza mwanangu msichana yeyote miongoni mwa binti za Wakanaani ambao ninaishi katika nchi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye bwana wangu ameniapisha na akasema, ‘Kamwe usimtwalie mwanangu mke katika binti za Wakanaani, ambao ninaishi katika nchi yao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye bwana wangu ameniapisha na akasema, ‘Kamwe usimtwalie mwanangu mke katika binti za Wakanaani, ambao ninaishi katika nchi yao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha bwana wangu akaniapisha akisema, Usimtwalie mwanangu mke wa binti za Wakanaani, ambao nakaa katika nchi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana wangu aliniapisha mimi akisema, ‘Hutamwoza mwanangu msichana yeyote miongoni mwa binti za Wakanaani ambao ninaishi katika nchi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha bwana wangu akaniapisha kwamba: Usimposee mwanangu mwanamke miongoni mwao wana wa kike wa Wakanaani, ambao ninakaa katika nchi yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha bwana wangu akaniapisha akisema, Usimtwalie mwanangu mke wa binti za Wakanaani, ambao nakaa katika nchi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana wangu aliniapisha mimi akisema: ‘Hautamwoea mwana wangu binti yeyote kati ya wabinti za Wakanana ambao ninaishi katika inchi yao.