Genesis 24:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bali utakwenda mpaka nchi yangu, kwa jamaa zangu, ili umtafutie mwanangu Isaka mke.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ila uende hadi kwa jamaa ya baba yangu na ukoo wangu mwenyewe, ukamtwalie mwanangu mke huko.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila uende mpaka nyumbani kwa babangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu mke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bali utakwenda mpaka nchi yangu, kwa jamaa zangu, ili umtafutie mwanangu Isaka mke.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ila uende mpaka kwa jamaa ya baba yangu na ukoo wangu mwenyewe, ukamtwalie mwanangu mke huko.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ila uende mpaka kwa jamaa ya baba yangu na ukoo wangu mwenyewe, ukamtwalie mwanangu mke huko.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila uende mpaka nyumbani kwa babangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu mke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bali utakwenda mpaka nchi yangu, kwa jamaa zangu, ili umtafutie mwanangu Isaka mke.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila uende nyumbani mwa baba yangu kwenye ndugu zangu kumposea mwanangu mkewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila uende mpaka nyumbani kwa babangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu mke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini utakwenda mpaka katika inchi yangu, kwa jamaa zangu, kusudi umutafutie mwana wangu Isaka muke.’