Genesis 24:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niapie kwamba utakwenda mpaka katika nchi yangu, kwa jamaa zangu, umtafutie mwanangu Isaka mke.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali nenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaka mwanangu mke.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali enenda hata nchi yangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu Isaka mke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niapie kwamba utakwenda mpaka katika nchi yangu, kwa jamaa zangu, umtafutie mwanangu Isaka mke.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaka mwanangu mke.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali nenda hata nchi yangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu Isaka mke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niapie kwamba utakwenda mpaka katika nchi yangu, kwa jamaa zangu, umtafutie mwanangu Isaka mke.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila uende katika nchi, nilikozaliwa, kwenye ndugu zangu kumposea mwanangu Isaka mkewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali enenda hata nchi yangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu Isaka mke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniapie kwamba utakwenda mpaka katika inchi yangu, kwa jamaa zangu, umutafutie mwana wangu Isaka muke.”