Genesis 24:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Leo nilipofika kisimani nimeomba, ‘Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba nifaulu leo katika safari yangu na umfadhili Abrahamu bwana wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nilipokuja kisimani leo nilisema, ‘Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, ikikupendeza, naomba uifanikishe safari niliyoijia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikaja leo kisimani, nikasema, Ee Bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, ukinifanikishia sasa njia yangu niendayo mimi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Leo nilipofika kisimani nimeomba, ‘Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba nifaulu leo katika safari yangu na umfadhili Abrahamu bwana wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nilipokuja kisimani leo nilisema, ‘Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ikikupendeza, naomba uifanikishe safari niliyoijia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nilipokuja kisimani leo nilisema, ‘Ee bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, ikikupendeza, naomba uifanikishe safari niliyoijia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikaja leo kisimani, nikasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ukinifanikishia sasa njia yangu niendayo mimi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Leo nilipofika kisimani nimeomba, ‘Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba nifaulu leo katika safari yangu na umfadhili Abrahamu bwana wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipofika leo hapo kisimani nikaomba kwamba: Bwana, Mungu wa bwana wangu Aburahamu, afadhali nipe, hii safari yangu, niliyokuja huku, ifanikiwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikaja leo kisimani, nikasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, ukinifanikishia sasa njia yangu niendayo mimi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Leo nilipofika kwenye kisima nikaomba: ‘Ee Yawe, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ninakuomba unisaidie leo katika safari yangu na umutendee Abrahamu bwana wangu mema.