Genesis 24:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niko hapa kando ya kisima. Msichana atakayekuja kuteka maji ambaye nitamwomba anipatie maji kidogo ya kunywa kutoka mtungi wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, ninasimama kando ya kisima hiki. Mwanamwali akija kuteka maji, nami nikimwambia: Tafadhali niruhusu ninywe maji kidogo kutoka mtungi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tazama! Nimesimama karibu na kisima cha maji; basi na iwe hivi, msichana ajaye kuteka maji, nikamwambia, Nipe, nakuomba, maji kidogo katika mtungi wako ninywe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niko hapa kando ya kisima. Msichana atakayekuja kuteka maji ambaye nitamwomba anipatie maji kidogo ya kunywa kutoka mtungi wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, ninasimama kando ya kisima hiki, kama mwanamwali akija kuteka maji nami nikimwambia, tafadhali niruhusu ninywe maji kidogo kutoka kwenye mtungi wako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, ninasimama kando ya kisima hiki, kama mwanamwali akija kuteka maji nami nikimwambia, tafadhali niruhusu ninywe maji kidogo kutoka kwenye mtungi wako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tazama! Nimesimama karibu na kisima cha maji; basi na iwe hivi, msichana ajaye kuteka maji, nikamwambia, Nipe, nakuomba, maji kidogo katika mtungi wako ninywe,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niko hapa kando ya kisima. Msichana atakayekuja kuteka maji ambaye nitamwomba anipatie maji kidogo ya kunywa kutoka mtungi wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama ninasimama hapa penye kisima cha maji! Itakuwa, kijana wa kike atoke kuchota maji, nami nitakapomwambia: Nipe maji kidogo ya mtungini mwako, ninywe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tazama! Nimesimama karibu na kisima cha maji; basi na iwe hivi, msichana ajaye kuteka maji, nikamwambia, Nipe, nakuomba, maji kidogo katika mtungi wako ninywe,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niko hapa kando ya kisima. Binti atakayekuja kuteka maji ambaye nitamwomba anipatie maji kidogo ya kunywa kutoka mutungi wake,