Genesis 24:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumishi akamwambia, “Huenda mwanamke huyo atakataa kufuatana nami kuja huku, ikiwa hivyo, je, ni lazima nimrudishe mwanao nchini ulikotoka?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mtumishi akamuuliza, “Je, itakuwaje huyo mwanamke akikataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimrudishe mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mtumishi akamwambia, Labda yule mwanamke hatakubali kufuatana nami mpaka nchi hii, je! Nimrudishe mwanao mpaka nchi ulikotoka?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumishi akamwambia, “Huenda mwanamke huyo atakataa kufuatana nami kuja huku, ikiwa hivyo, je, ni lazima nimrudishe mwanao nchini ulikotoka?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mtumishi akamwuliza, “Je, kama huyo mwanamke atakataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimpeleke mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mtumishi akamuuliza, “Je, kama huyo mwanamke atakataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimpeleke mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mtumishi akamwambia, Labda yule mwanamke hatakubali kufuatana nami mpaka nchi hii, je! Nimrudishe mwanao mpaka nchi ulikotoka?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumishi akamwambia, “Huenda mwanamke huyo atakataa kufuatana nami kuja huku, ikiwa hivyo, je, ni lazima nimrudishe mwanao nchini ulikotoka?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu mtumishi akajibu: Kama yule mwanamke hataki kunifuata kuja katika nchi hii, nimrudishe mwanao katika nchi ile, ulikotoka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mtumishi akamwambia, Labda yule mwanamke hatakubali kufuatana nami mpaka nchi hii, je! Nimrudishe mwanao mpaka nchi ulikotoka?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumishi akamwambia: “Labda mwanamuke yule atakataa kunifuata kuja huku, ikiwa hivyo, ni lazima nimurudishe mwana wako katika inchi ulikotoka?”