Genesis 24:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kusikia hayo, Labani na Bethueli wakamjibu, “Jambo hili limetoka kwa Mwenyezi-Mungu, sisi hatuwezi kuamua lolote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Labani na Bethueli wakajibu, “Jambo hili limetoka kwa Mwenyezi Mungu; hatuwezi kukuambia jambo lolote baya au jema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Labani na Bethueli wakajibu wakasema, Neno hili limetoka kwa Bwana, wala sisi hatuwezi kukuambia neno jema wala baya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kusikia hayo, Labani na Bethueli wakamjibu, “Jambo hili limetoka kwa Mwenyezi-Mungu, sisi hatuwezi kuamua lolote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Labani na Bethueli wakajibu, “Jambo hili limetoka kwa BWANA, hatuwezi kukuambia jambo lo lote baya au jema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Labani na Bethueli wakajibu, “Jambo hili limetoka kwa bwana, hatuwezi kukuambia jambo lolote baya au jema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Labani na Bethueli wakajibu wakasema, Neno hili limetoka kwa BWANA, wala sisi hatuwezi kukuambia neno jema wala baya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kusikia hayo, Labani na Bethueli wakamjibu, “Jambo hili limetoka kwa Mwenyezi-Mungu, sisi hatuwezi kuamua lolote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Labani na Betueli walipojibu kwamba: Neno hili lmetoka kwake Bwana, sisi hatuwezi kukuambia neno baya wala jema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Labani na Bethueli wakajibu wakasema, Neno hili limetoka kwa BWANA, wala sisi hatuwezi kukuambia neno jema wala baya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kusikia hayo, Labani na Betueli wakamujibu: “Jambo hili limetoka kwa Yawe, sisi hatuwezi kuamua lolote.