Genesis 24:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rebeka huyu hapa; mchukue uende. Na awe mke wa mwana wa bwana wako kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rebeka yuko hapa, mchukue na uende, awe mke wa mwana wa bwana wako, sawasawa na Mwenyezi Mungu alivyoongoza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, huyo Rebeka yuko mbele yako, umchukue, ukaende zako awe mke wa mwana wa bwana wako, kama alivyosema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rebeka huyu hapa; mchukue uende. Na awe mke wa mwana wa bwana wako kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rebeka yuko hapa, mchukue na uende, awe mke wa mwana wa bwana wako, sawasawa na BWANA alivyoongoza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rebeka yuko hapa, mchukue na uende, awe mke wa mwana wa bwana wako, sawasawa na bwana alivyoongoza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, huyo Rebeka yuko mbele yako, umchukue, ukaende zako awe mke wa mwana wa bwana wako, kama alivyosema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rebeka huyu hapa; mchukue uende. Na awe mke wa mwana wa bwana wako kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Rebeka yuko mbele yako; mchukue kwenda naye, awe mkewe mwana wa bwana wako, kama Bwana alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, huyo Rebeka yuko mbele yako, umchukue, ukaende zako awe mke wa mwana wa bwana wako, kama alivyosema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rebeka huyu hapa. Umutwae uende. Akuwe muke wa mwana wa bwana wako kama vile Yawe alivyosema.”