Genesis 24:52 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikawa huyo mtumishi wa Ibrahimu aliposikia waliyosema, alisujudu, uso wake ukagusa chini mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa mtumishi wa Ibrahimu aliposikia maneno yao, akainama hata nchi mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa huyo mtumishi wa Abrahamu aliposikia waliyosema, alisujudu mpaka nchi mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikawa huyo mtumishi wa Ibrahimu aliposikia waliyosema, alisujudu mpaka nchi mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno yao, akainama hata nchi mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtumishi wake Aburahamu alipoyasikia maneno yao akamwangukia Bwana hapo chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa mtumishi wa Ibrahimu aliposikia maneno yao, akainama hata nchi mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, akamwabudu Yawe.