Genesis 24:56 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye akasema, “Tafadhali, msinicheleweshe, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekwisha fanikisha safari yangu; naomba mniruhusu kurudi kwa bwana wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini yule mtumishi akawaambia, “Msinicheleweshe, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amefanikisha safari yangu. Nipeni ruhusa nirudi kwa bwana wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akawaambia, Msinikawilishe, mradi Bwana amefanikisha njia yangu; nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye akasema, “Tafadhali, msinicheleweshe, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekwisha fanikisha safari yangu; naomba mniruhusu kurudi kwa bwana wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini yule mtumishi akawaambia, “Msinicheleweshe, kwa kuwa BWANA amefanikisha safari yangu, nipeni ruhusa nirudi kwa bwana wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yule mtumishi akawaambia, “Msinicheleweshe, kwa kuwa bwana amefanikisha safari yangu, nipeni ruhusa nirudi kwa bwana wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akawaambia, Msinikawilishe, mradi BWANA amefanikisha njia yangu; nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye akasema, “Tafadhali, msinicheleweshe, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekwisha fanikisha safari yangu; naomba mniruhusu kurudi kwa bwana wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Msinikawilishe! Kwani Bwana amenipa, safari yangu ifanikiwe, nipeni ruhusa, niende kwa bwana wangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akawaambia, Msinikawilishe, mradi BWANA amefanikisha njia yangu; nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yeye akasema: “Tafazali, musinicheleweshe, kwa sababu Yawe amekwisha kufanikisha katika safari yangu. Ninaomba muniruhusu kurudi kwa bwana wangu.”