Genesis 24:58 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utaenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitaenda.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitakwenda.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitakwenda.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwita Rebeka, wakamwuliza: Unataka kwenda na mtu huyu! Akasema: Nitakwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwita Rebeka na kumwuliza: “Utakwenda na mutu huyu?” Naye akajibu: “Nitakwenda.”