Genesis 24:59 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamwacha Rebeka na yaya wake aende na mtumishi wa Abrahamu na watu wake. Yaya wake Rebeka pia aliandamana naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wakamwaga ndugu yao Rebeka aondoke, pamoja na mjakazi wake, na mtumishi wa Ibrahimu na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wakampeleka Rebeka ndugu yao, na yaya wake, na mtumishi wa Ibrahimu, na watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamwacha Rebeka na yaya wake aende na mtumishi wa Abrahamu na watu wake. Yaya wake Rebeka pia aliandamana naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wakamwaga ndugu yao Rebeka aondoke, pamoja na mjakazi wake, mtumishi wa Abrahamu na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wakamwaga ndugu yao Rebeka aondoke, pamoja na mjakazi wake, mtumishi wa Ibrahimu na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wakampeleka Rebeka dada yao, na yaya wake, na mtumishi wa Abrahamu, na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamwacha Rebeka na yaya wake aende na mtumishi wa Abrahamu na watu wake. Yaya wake Rebeka pia aliandamana naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipompa ndugu yao Rebeka ruhusa kwenda pamoja na yaya wake na mtumishi wa Aburahamu na watu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wakampeleka Rebeka ndugu yao, na yaya wake, na mtumishi wa Ibrahimu, na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakamwacha Rebeka aende na mutumishi wa Abrahamu na watu wake. Mulezi wa Rebeka vilevile alikwenda naye.