Genesis 24:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu akamwambia, “La! Angalia sana usimrudishe mwanangu huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu akasema, “Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu akamwambia, Ujihadhari, usimrudishe mwanangu huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu akamwambia, “La! Angalia sana usimrudishe mwanangu huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abrahamu akasema, “Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu akasema, “Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu akamwambia, Ujihadhari, usimrudishe mwanangu huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu akamwambia, “La! Angalia sana usimrudishe mwanangu huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aburahamu akamwambia: Angalia sana, usimrudishe mwanangu kwenda huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu akamwambia, Ujihadhari, usimrudishe mwanangu huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abrahamu akamwambia: “Hapana! Angalia sana usimurudishe mwana wangu kule.