Genesis 24:61 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Rebeka na wajakazi wake wakapanda ngamia na kumfuata huyo mtumishi wa Abrahamu; nao wote wakaondoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rebeka na vijakazi wake wakajiandaa, wakapanda ngamia wao, wakafuatana na yule mtu. Hivyo yule mtumishi akamchukua Rebeka, wakaondoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Rebeka akaondoka na vijakazi wake, nao wakapanda juu ya ngamia, wakamfuata yule mtu. Naye huyo mtumishi akamchukua Rebeka akaenda zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Rebeka na wajakazi wake wakapanda ngamia na kumfuata huyo mtumishi wa Abrahamu; nao wote wakaondoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rebeka na vijakazi wake wakajiandaa, wakapanda ngamia zao wakafuatana na yule mtu. Hivyo yule mtumishi akamchukua Rebeka akaondoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rebeka na vijakazi wake wakajiandaa, wakapanda ngamia zao wakafuatana na yule mtu. Hivyo yule mtumishi akamchukua Rebeka akaondoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Rebeka akaondoka na vijakazi wake, nao wakapanda juu ya ngamia, wakamfuata yule mtu. Naye huyo mtumishi akamchukua Rebeka akaenda zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Rebeka na wajakazi wake wakapanda ngamia na kumfuata huyo mtumishi wa Abrahamu; nao wote wakaondoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Rebeka akaondoka na watumishi wake wa kike, wakipanda ngamia, wakamfuata yule mtu. Hivyo ndivyo, huyo mtumishi alivyomchukua Rebeka kwenda naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Rebeka akaondoka na vijakazi wake, nao wakapanda juu ya ngamia, wakamfuata yule mtu. Naye huyo mtumishi akamchukua Rebeka akaenda zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Rebeka na wajakazi wake wakapanda juu ya ngamia na kumufuata yule mutumishi wa Abrahamu, nao wote wakaondoka.