Genesis 24:62 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, Isaka alikuwa ameondoka Beer-lahai-roi, akawa anakaa huko pande za Negebu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Isaka alikuwa ametoka Beer-Lahai-Roi, kwa kuwa alikuwa akiishi nchi ya Negebu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Isaka alikuwa amekuja kwa njia ya Beer-lahai-roi, maana alikaa katika nchi ya kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, Isaka alikuwa ameondoka Beer-lahai-roi, akawa anakaa huko pande za Negebu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Isaki alikuwa ametoka Beer-Lahai-Roi, kwa kuwa alikuwa anaishi nchi ya Negebu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Isaka alikuwa ametoka Beer-Lahai-Roi, kwa kuwa alikuwa anaishi nchi ya Negebu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Isaka alikuwa amekuja kwa njia ya Beer-lahai-roi, maana alikaa katika nchi ya kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, Isaka alikuwa ameondoka Beer-lahai-roi, akawa anakaa huko pande za Negebu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isaka alikuwa ametoka penye kisima cha Mwenye Uzima Anionaye, maana alikaa katika nchi ya kusini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Isaka alikuwa amekuja kwa njia ya Beer-lahai-roi, maana alikaa katika nchi ya kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, Isaka alikuwa ameondoka Beri-Lahai-Roi, akakaa pande za Negebu.