Genesis 24:63 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja jioni, Isaka alikwenda mashambani kutafakari. Basi, akatazama akaona ngamia wanakuja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaka akaenda shambani kutafakari wakati wa jioni; alipoinua macho yake, akaona ngamia wanakuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaka akatoka ili kutafakari kondeni wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja jioni, Isaka alikwenda mashambani kutafakari. Basi, akatazama akaona ngamia wanakuja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaki akatoka kwenda shambani kutafakari wakati wa jioni, alipoinua macho yake, akaona ngamia wanakuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaka akatoka kwenda shambani kutafakari wakati wa jioni, alipoinua macho yake, akaona ngamia wanakuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaka akatoka ili kutafakari shambani wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja jioni, Isaka alikwenda mashambani kutafakari. Basi, akatazama akaona ngamia wanakuja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alikuwa ametoka kwenda shambani kuomba, jua lilipotaka kuchwa. Alipoyainua macho yake, mara akaona ngamia, wanaokuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaka akatoka ili kutafakari kondeni wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja magaribi, Isaka akakwenda kwenye mashamba kwa kufikiri. Basi, akainua macho akaona ngamia wanakuja.