Genesis 24:64 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rebeka pia akainua macho, akamwona Isaka. Akashuka kutoka ngamia wake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rebeka pia akainua macho akamwona Isaki. Akashuka kutoka kwenye ngamia wake
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rebeka pia akainua macho akamwona Isaka. Akashuka kutoka kwenye ngamia wake
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rebeka naye akayainua macho yake; alipomwona Isaka akashuka upesi katika ngamia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Rebeka alipoinua macho na kumwona Isaka, akashuka chini