Genesis 24:65 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kumwuliza mtumishi wa Abrahamu, “Ni nani yule mtu anayetembea kule shambani, anakuja kutulaki?” Yule mtumishi akasema, “Ni bwana wangu.” Basi, Rebeka akatwaa shela yake, akajifunika uso.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akamuuliza yule mtumishi, “Ni nani mtu yule kule shambani anayekuja kutulaki?” Yule mtumishi akajibu, “Huyu ndiye bwana wangu.” Hivyo Rebeka akachukua shela yake, akajifunika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kumwuliza mtumishi wa Abrahamu, “Ni nani yule mtu anayetembea kule shambani, anakuja kutulaki?” Yule mtumishi akasema, “Ni bwana wangu.” Basi, Rebeka akatwaa shela yake, akajifunika uso.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na akamwuliza yule mtumishi, “Ni nani mtu yule aliye kule shambani anayekuja kutulaki?” Yule mtumishi akajibu, “Huyu ndiye bwana wangu.” Hivyo Rebeka akachukua shela yake akajifunika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na akamuuliza yule mtumishi, “Ni nani mtu yule aliye kule shambani anayekuja kutulaki?” Yule mtumishi akajibu, “Huyu ndiye bwana wangu.” Hivyo Rebeka akachukua shela yake akajifunika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye shambani kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kumwuliza mtumishi wa Abrahamu, “Ni nani yule mtu anayetembea kule shambani, anakuja kutulaki?” Yule mtumishi akasema, “Ni bwana wangu.” Basi, Rebeka akatwaa shela yake, akajifunika uso.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwuliza yule mtumishi: Huyu mtu anayetujia hapa shambani ni nani? Yule mtumishi aliposema: Huyu ni bwana wangu, akachukua ukaya, akajifunika ushungi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kumwuliza mutumishi wa Abrahamu: “Ni nani yule mutu anayetembea kule katika shamba, anakuja kutupokea?” Yule mutumishi akasema: “Ni bwana wangu.” Basi, Rebeka akatwaa kitambaa chake, akajifunika uso.