Genesis 24:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iwapo mwanamke huyo hatapenda kufuatana nawe hadi huku, basi kiapo changu hakitakufunga, lakini kwa vyovyote vile usimrudishe mwanangu huko.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyo mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi utafunguliwa kutoka kiapo nilichokuapisha. Ila usimrudishe mwanangu huko.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na yule mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi, utafunguliwa kiapo changu hiki; lakini usimrudishe mwanangu huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iwapo mwanamke huyo hatapenda kufuatana nawe hadi huku, basi kiapo changu hakitakufunga, lakini kwa vyovyote vile usimrudishe mwanangu huko.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama huyo mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi utafunguliwa kutoka kiapo nilichokuapisha. Ila usimrudishe mwanangu huko.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama huyo mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi utafunguliwa kutoka kiapo nilichokuapisha. Ila usimrudishe mwanangu huko.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na yule mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi, utafunguliwa kiapo changu hiki; lakini usimrudishe mwanangu huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iwapo mwanamke huyo hatapenda kufuatana nawe hadi huku, basi kiapo changu hakitakufunga, lakini kwa vyovyote vile usimrudishe mwanangu huko.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule mwanamke asipotaka kukufuata, basi, utakuwa umefunguliwa, nacho hiki kiapo, ninachokutakia, kitakuwa kimetanguka, lakini usimrudishe mwanangu kwenda huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na yule mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi, utafunguliwa kiapo changu hiki; lakini usimrudishe mwanangu huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa mwanamuke yule hatapenda kukufuata mpaka huku, basi kiapo changu hakitakufunga, lakini kwa vyovyote vile usimurudishe mwana wangu kule.”