Genesis 24:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mtumishi huyo akaweka mkono wake mapajani mwa Abrahamu, bwana wake, akaapa kuhusu jambo hilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la bwana wake Ibrahimu, akamwapia kuhusu shauri hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la Ibrahimu bwana wake, akamwapia katika neno hilo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mtumishi huyo akaweka mkono wake mapajani mwa Abrahamu, bwana wake, akaapa kuhusu jambo hilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la bwana wake Abrahamu akamwapia kuhusu shauri hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la bwana wake Ibrahimu akamwapia kuhusu shauri hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la Abrahamu bwana wake, akamwapia katika neno hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mtumishi huyo akaweka mkono wake mapajani mwa Abrahamu, bwana wake, akaapa kuhusu jambo hilo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yule mtumishi alipouweka mkono wake chini ya kiuno cha bwana wake Aburahamu, akamwapia kufanya hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la Ibrahimu bwana wake, akamwapia katika neno hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mutumishi yule akaweka mukono wake chini ya paja la Abrahamu, bwana wake, akaapa juu ya jambo hilo.