Genesis 25:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu alikuwa amenunua shamba hilo kwa Wahiti. Huko ndiko alikozikwa Abrahamu na mkewe Sara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
shamba ambalo Ibrahimu alilinunua kwa Wahiti. Hapo ndipo Ibrahimu alipozikwa pamoja na mkewe Sara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika lile shamba alilolinunua Ibrahimu kwa wazawa Hethi, huko ndiko alikozikwa Ibrahimu na Sara mkewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu alikuwa amenunua shamba hilo kwa Wahiti. Huko ndiko alikozikwa Abrahamu na mkewe Sara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shamba ambalo Abrahamu alilinunua kwa Wahiti. Hapo ndipo Abrahamu alipozikwa pamoja na mkewe Sara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shamba ambalo Ibrahimu alilinunua kwa Wahiti. Hapo ndipo Ibrahimu alipozikwa pamoja na mkewe Sara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika lile shamba alilolinunua Abrahamu kwa wazawa wa Hethi, huko ndiko alikozikwa Abrahamu na Sara mkewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu alikuwa amenunua shamba hilo kwa Wahiti. Huko ndiko alikozikwa Abrahamu na mkewe Sara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndilo lile shamba, Aburahamu alilolinunua kwa wana wa Hiti; ndiko, Aburahamu alikozikwa na mkewe Sara.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika lile shamba alilolinunua Ibrahimu kwa wazawa Hethi, huko ndiko alikozikwa Ibrahimu na Sara mkewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abrahamu alikuwa amenunua shamba lile kwa Wahiti. Kule ndiko Abrahamu na muke wake Sara walizikwa.