Genesis 25:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa ndio wazawa wa Ishmaeli mwanawe Abrahamu ambaye Hagari Mmisri, aliyekuwa mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa ndio wazawa wa Ishmaeli mwanawe Abrahamu ambaye Hagari Mmisri, aliyekuwa mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli mtoto wa Abrahamu, ambaye mjakazi wake Sara, Hagari Mmisri, alimzalia Abrahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli mtoto wa Ibrahimu, ambaye mjakazi wake Sara, Hagari Mmisri, alimzalia Ibrahimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Abrahamu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa ndio wazawa wa Ishmaeli mwanawe Abrahamu ambaye Hagari Mmisri, aliyekuwa mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndiyo vizazi vya Isimaeli, mwana wa Aburahamu, ambaye Hagari wa Misri aliyekuwa kijakazi wake Sara alimzalia Aburahamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio wazao wa Isimaeli mwana wa Abrahamu ambaye Hagari Mumisri aliyekuwa mujakazi wa Sara alimuzalia Abrahamu.