Genesis 26:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwaka huo Isaka alipanda mbegu katika nchi ile, akavuna mara mia zaidi, maana Mwenyezi-Mungu alimbariki,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaka akapanda mazao katika nchi hiyo, na kwa mwaka huo huo akavuna mara mia, kwa sababu Mwenyezi Mungu alimbariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, Bwana akambariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwaka huo Isaka alipanda mbegu katika nchi ile, akavuna mara mia zaidi, maana Mwenyezi-Mungu alimbariki,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaki akapanda mazao katika nchi hiyo, kwa mwaka uo huo, akavuna mara mia, kwa sababu BWANA alimbariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaka akapanda mazao katika nchi hiyo, kwa mwaka huo huo, akavuna mara mia, kwa sababu bwana alimbariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwaka huo Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, naye akapata mavuno mara mia zaidi. BWANA akambariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwaka huo Isaka alipanda mbegu katika nchi ile, akavuna mara mia zaidi, maana Mwenyezi-Mungu alimbariki,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isaka alipopanda mbegu katika nchi hiyo, akavuna mia mwaka huo, maana Bwana alimbariki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwaka ule Isaka akapanda mbegu katika inchi ile, akavuna mara mia zaidi, maana Yawe alimubariki,